Serikali yaanza kutoa dawa za kuokoa watoto njiti

Kaimu Mkurugenzi Huduma za Upasuaji wa Hospital ya Taifa Muhimbili Dkt. Julieth Magandi

Takwimu zinaonyesha kuwa asilimia 13 ya watoto huzaliwa wakiwa na uzito pungufu (Njiti) nchini Tanzania hali ambayo huchangia asilimia 86 ya vifo vya watoto wachanga.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS