Sekta binafsi yaaswa kushiriki miradi ya uchukuzi
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameitaka sekta binafsi nchini kushirikiana na Serikali kikamilifu katika kuendeleza miradi mbalimbali ya usafirishaji na kuchochea maendeleo.