Wanahabari chachu ya kuufikia uchumi wa kati

Dkt. Blandina Kilama

Mipango ya serikali ya kuifikisha Tanzania kuwa taifa la uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 inaweza kufanikiwa iwapo wanahabari nchini watakuwa na uelewa wa kutosha wa kuripoti habari za uchumi hasa zile zinazolenga kuisaidia serikali kufikia malengo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS