Mkurugenzi awakaba koo wakandarasi mradi wa shule
Jumla ya shilingi millioni 400 zilitakiwa kutumika kukamilisha miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa, vyoo na nyumba za walimu kwa shule nne Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro ifikapo mwezi desemba mwaka huu.