Trump aibua mzozo, avunja diplomasia

Rais mteule wa Marekani, Donald Trump.

Rais mteule wa Marekani Donald Trump, amesababisha mzozo mwengine, baada ya kubainika kwamba alizungumza kwa njia ya simu na Rais wa Taiwan, na kuvunja itifaki nyengine ya kidiplomasia.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS