Tanzania mwenyeji Siku ya Takwimu Afrika
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuongoza maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yatakayofanyika kesho jijini Dar es Salaam yakilenga kuainisha umuhimu wa takwimu katika kupanga maendeleo na kutunga sera Barani la Afrika