Mikoa 25 kushiriki Taifa Cup mpira wa kikapu
Chama Cha Mpira wa Kikapu nchini TBF kimezitaka timu shiriki kutumia fursa itakayojitokeza katika Mashindano ya Taifa Cup kuonesha vipaji ili kuweza kupata timu bora ya taifa itakayoiwakilisha nchi katika mashindano mbalimbali ya Kimataifa.