Wafanyabiashara wadogo Jijini mwanza wakigawana maeneo katika eneo jipya walilohamishiwa.
Shangwe zimelipuka jijini Mwanza baada ya Rais kusitisha amri ya kuwaondoa wafanyabiashara ndogondogo katika jiji la Mwanza Iliyotolewa hivi karibuni na wakuu wa wilaya za Nyamagana na Ilemela.