Wazee wa Simba SC waupiga 'stop' mkutano mkuu Mwenyekiti wa Baraza la Wazee la Klabu ya Simba, Hamis Kilomoni Baraza la wazee wa Klabu ya Simba wamezuia mkutano wa klabu hiyo unaotarajiwa kufanyika Desemba 11 mwaka huu jijini Dar es salaam. Read more about Wazee wa Simba SC waupiga 'stop' mkutano mkuu