Udhamini mpya kuiongezea makali Mbao FC
Klabu ya soka ya Mbao FC ya Mwanza imefanikiwa kupata udhamini mnono wa kiasi cha shilingi milioni 25 kutoka kwa kampuni ya kusambaza bidhaa ya Hawaii kwaajili ya kumalizia msimu huu wa ligi kuu katika duru la pili litakaloanza rasmi Desemba 17