Serikali itoe amri kututetea walemavu-David Mathew
Kijana David Mathew ambaye alipata ulemavu baada ya kupata ajali ya gari mwaka 2007, amesema watu wenye ulemavu wanakabiliwa na changamoto kubwa ya miundombinu rafiki ili kuweza kufanya shuguli zao mbali mbali za uzalishaji mali.