Mpemba na wenzake kutinga mahakama ya mafisadi
Watu sita wanaodaiwa kuwa vinara wa mtandao wa kukusanya kuuza vipande vya meno ya tembo akiwemo Yusuph Ali Yusumbu marufu kama Mpemba wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu jana jijini Dar es Salaam