Watanzania wengi hawatumii simu kwa mambo muhimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) Dkt. Hassan Mshinda. Asilimia 80 ya watu nchini wanamiliki simu za mkononi lakini wengi wao hawana uwezo wa kuzitumia katika kufahamu masuala muhimu ya afya, elimu na kilimo. Read more about Watanzania wengi hawatumii simu kwa mambo muhimu