Rais wa Syria atoa sharti kwa Donald Trump Bashar Al Assad (Kushoto) , Donald Trump (Kulia) Rais wa Syria Bashar Al Assad amesema kuwa Rais mteule wa Marekani Donald Trump anaweza kuwa mshirika wake iwapo atafuata ahadi zake za kukabiliana na magaidi. Read more about Rais wa Syria atoa sharti kwa Donald Trump