Ajali yaua watu 9 mkoani Iringa Gari ya abiria iliyogongwa na lori Ajali ya barabarani iliyotokea saa 12 jioni ya leo mkoani Iringa ikihusisha lori na gari la abiria aina ya Hiece, imesababisha vifo vya watu 9 na majeruhi zaidi ya 18. Read more about Ajali yaua watu 9 mkoani Iringa