Wizara ya afya yakamata kiwanda feki cha pombe
Naibu Waziri Wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Dkt. Hamis Kigwangalla ameongoza kikosi kazi katika msako wa viwanda vinavyotengeneza 'pombe kali' feki ikiwemo viroba na kufanikiwa kukamata kiwanda feki kilicho maeneo ya Sinza, DSM