Nchi 4 Afrika zathibitisha kushiriki ngumi Dar Mabondia wa Tanzania katika mchezo wa ngumi Mashindano ya Bingwa wa Mabingwa ya mchezo wa Ngumi yanatarajiwa kuanza Desemba tisa mpaka 15 mwaka huu jijini Dar es salaam kwa kushirikisha mabondia mbalimbali ndani na nje ya nchi. Read more about Nchi 4 Afrika zathibitisha kushiriki ngumi Dar