Matapeli waibukia tiba asili na tiba mbadala

Boniventura Mwalongo - Katibu Mkuu TRAMEPRO

Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi imeiombwa kuchukua hatua dhidi ya watu ambao hupita maeneo mbalimbali nchini na kujifanya kuwa wao ni viongozi wa vyama vya tiba asili na tiba mbadala.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS