Watumiaji dawa za kulevya kusakwa kila nyumba
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya wilaya ya Longido mkoani Arusha kufanya msako wa nyumba hadi nyumba na kuwakamata wote watakaokutwa wanafanya biashara ya dawa za kulevya.
