Zimbabwe yazindua fedha zake kwa mara ya kwanza Noti mpya za Zimbabwe. Taifa la Zimbabwe limezindua fedha zake kwa mara ya kwanza tangu sarafu ya dola ya taifa hilo ifutiliwe mbali miaka saba iliyopita kufuatia mfumuko mkubwa wa kiuchumi. Read more about Zimbabwe yazindua fedha zake kwa mara ya kwanza