Izzo B aweka wazi uhusiano wake na Bella

Izo B (kushoto) akiwa amepozi na Bella

Msanii Izzo Business amesisitiza juu ya uhusiano uliopo kati yake na msanii Bella ambaye kwa pamoja wameunda kundi la The Amazing na kusema hakuna uhusiano wowote wa kimapenzi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS