Wasanii wa hip hop hatuna hela - Young Killer Young Killer Msanii wa Hip Hop nchini Young Killer amesema sababu zinazopelekea wasanii wa hip hop nchini kutokuwa na bifu ni kutokana na mafanikio madogo wanayoyapata kupitia muziki. Read more about Wasanii wa hip hop hatuna hela - Young Killer