Simba na Yanga zaapa kutokuwa na huruma Wachezaji wa Yanga (Kushoto) na wa Simba (Kulia) Vilabu vikongwe nchini vya Simba na Yanga vimeapa kutokuwa na huruma kwa timu yoyote zitakayokutana nayo katika mzunguko wa pili wa ligi kuu Tanzania Bara unaoanza kesho Jumamosi (Desemba 17, 2016) Read more about Simba na Yanga zaapa kutokuwa na huruma