Ivo Mapunda atoboa siri ya taulo lake
Aliyekuwa golikipa a vilabu mbalimbali vikubwa Afrika Mashariki ikiwemo Simba, Yanga, Azam, Gor Mahia na Taifa Stars, Ivo Mapunda amefichua siri ya taulo lake alilokuwa akilitumia wakati akiidakia Simba na kusema kuwa taulo lile lilikuwa na siri kubw
