Kikosi cha watoto U-13 chazungushwa mikoani
Kocha wa Timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 13 Oscar Mirambo amesema, anaamini ziara wanazoendelea nazo pamoja na mechi za kirafiki zitasaidia timu kuweza kufanya vizuri na kufikia malengo waliyojiwekea katika soka la Tanzania.

