Tanzania yapoteza mabilioni kwa kuuza mazao ghafi

Katibu Mtendaji wa ANSAF Bw. Audax Rukonge (katikati) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani)

Tanzania inapoteza wastani wa shilingi bilioni 250 kila mwaka kutokana na usafirisha nje ya nchi shehena ya korosho ghafi ambazo iwapo zingeongezwa thamani hapa hapa nchini kiasi hicho cha pesa kingebakia nchini na kusaidia ukuaji wa uchumi

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS