Makinda ashangaa ucheleweshwaji sheria ya ndoa

Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anne Makinda.

Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Anne Makinda amesikitishwa kuona kuwa hadi leo serikali imeshindwa kufanyia marekebisho baadhi ya vifungu vilivyopo katika sheria ya ndoa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS