Ndalichako atoa 'kalipio kali' kwa wanasiasa
Waziri wa Elimu , Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako, amewataka Makatibu Tawala na Wakurugenzi kote nchini, kuhakikisha wanawalinda wakuu wa shule wanaoingiliwa mamlaka zao na wanasiasa.

