Muhogo Mchungu bado anatudai - Solid Ground Family
Kundi la muziki wa bongo fleva Solid Ground Family ambao wameanza kitambo kwenye game ya muziki na mpaka sasa wapo kwenye game, wamekiri kitendo cha kumdhulumu muigizaji mkongwe wa filamu Muhogo Mchungu.