Tumechoka kunyanyaswa na Simba - Ndanda FC
Benchi la ufundi la klabu ya Ndanda FC limesema kuwa timu hiyo imechoka kunyanyaswa na Simba SC, na sasa imejipanga kuifanyia miujiza katika mchezo wa kwanza wa mzunguko wa pili wa ligi kuu Tanzania Bara utakaopigwa Jumapili, Desemba 18, mwaka huu.
