Yanga yaanza mazoezi chini ya kocha mpya
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara Yanga wameanza mazoezi leo chini ya Kocha Mkuu Mzambia George Lwandamina ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea mzunguko wa pili wa ligi kuu pamoja na klabu bingwa Afrika.