Tunda Man akiwa EATV
Akizungumza na East Africa Television, Tunda Man amesema ni ukweli usiopingika kuwa Babu Tale haithamini Tip Top kama siku za nyuma, na ni kitendo ambacho kinamuumiza sana msanii huyo.
Pia Tunda Man amesema kitendo cha kutokuwa sawa na Babu Tale ni kitu anachokijutia sana kuwahi kumtokea kwa mwaka 2016.
Tazama video hapo chini Tunda Man akifunguka kuhusu uhusiano wa Tip Top na Babu Tale kwa sasa, kudhulumiwa dili la matangazo na mengine.

