Waziri apinga uwepo wa ugonjwa wa zika nchini Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu Serikali imesema kuwa nchini Tanzania hakujathibitika kuwepo kwa ugonjwa wa zika kama ambavyo imeripotiwa siku ya jana. Read more about Waziri apinga uwepo wa ugonjwa wa zika nchini