Mzunguko wa pili VPL kuanza kwa mechi 4 Jumamosi

Mtendaji Mkuu Bodi ya Ligi

Duru la Pili la Ligi Kuu ya Tanzania Bara inatarajiwa kuanza kesho Jumamosi Desemba 17 kwa michezo minne kabla ya michezo mingine minne kufanyika siku ya Jumapili Desemba 18, mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS