Rais Lungu akiagwa katika uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere muda mfupi kabla ya kuondoka
Rais wa Zambia Edgar Lungu amesema hatasita kuwachukulia hatua za kinidhamu watendaji wabovu wanaoshindwa kusimamia bandari ya nchi kavu ya kupokea na kusafirisha mizigo kwenda Zambia.