Nassor Idrissa ateuliwa kuwa Mwenyekiti Azam FC

Nassor Idrissa - Mwenyekiti mpya Azam FC

Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Azam Nassor Idrissa, ameteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa timu hiyo akirithi mikoba ya Alhaji Said Mohamed Abeid, aliyefariki dunia mwanzoni mwa mwezi huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS