Bado tupo sana Tanzania - Dangote Cement

Aliko Dangote - Mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote

Uzalishaji katika kiwanda cha saruji cha Dangote kilichopo Mtwara umeathirika kwa kiasi kikubwa tokea wiki iliyopita kutokana na hitilafu za kiufundi katika mitambo ya kiwanda hicho.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS