Matukio 22,000 ya uhalifu yaitikisa Mbeya 2016
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya limetoa taarifa ya uhalifu mkoani humo kwa kipindi cha Januari 2016 hadi Desemba 2016 ambapo hali ya uhalifu kwa makosa yote ya jinai makubwa na madogo imepungua kwa asilimia 1.4 huku ajali zikipungua kwa asilimia 19.

