Linah aweka wazi hofu yake sasa
Mwanamuziki diva wa Bongo Fleva, Linah Sanga ' Ndege Mnana' ameweka wazi hofu yake juu ya kuibiwa baba wa mtoto wake na wadada wa mjini (nyakunyaku) ndiyo sababu ya kupunguza kasi ya kumuweka mtandaoni kama jinsi ilivyokuwa awali.

