Azam FC kujaribu kuikimbiza Yanga

Ligi kuu soka Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja ambapo Azam FC watakuwa ugenini mkoani Iringa kucheza na wenyeji wao Lipuli FC kwenye uwanja wa Samora mjini humo.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS