Slaa, Mboweto wamuaga Makamu wa Rais
Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Mhe. Muhidin Mboweto pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Sweden Mhe. Wilbrod Slaa leo wamekutana na Makamu wa Rais , Samia Suluhu kwenye makazi yake Dar es Salaam kwa lengo la kumuaga tayari kwenda kwenye vituo

