"Jeshi la Polisi halitamvumilia mtu"- Mambosasa
Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi (SACP), Lazaro Mambosasa amesema wamefanikiwa kupata taarifa katika mtandao za mtu anayehamasisha vijana wa CUF kujitokeza kufanya vurugu kwenye vituo.

