JB amekaa kupigwa pigwa - Dude Mwigizaji Kulwa Kikumba maarufu zaidi kama Dude amefunguka na kudai ameshawahi kumuingiza mjini msanii mwenzake Jacob Stepheni (JB) kwa kumtapeli laki moja na thelathini japokuwa mwenyewe alifahamu. Read more about JB amekaa kupigwa pigwa - Dude