Moto wateketeza bweni la shule Mbeya Bweni la wasichana wa shule ya sekondari Kipoke mkoani Mbeya limeteketea kwa moto na kusababisha uharibifu mkubwa huku wanafunzi wawili wakijeruhiwa. Read more about Moto wateketeza bweni la shule Mbeya