Mambosasa akiri risasi kutumika na mmoja kufariki Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amekiri mtu mmoja kupigwa risasi na polisi wakati wakiwatawanya wafuasi wa CHADEMA walioandama jana Februari 16, 2018. Read more about Mambosasa akiri risasi kutumika na mmoja kufariki