Msaidizi wa Lissu ailinda mahakama
Makamu wa Rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Godwin Ngwilimi amemtaka Jaji Mkuu wa Tanzania pamoja na watendaji wote wa sheria kuiheshimu mahakama kwani ni sehemu ambayo ukienda mwishowe haki inapatikana.