Mtulia arejea tena Bungeni Msimamizi wa uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo la Kinondoni ambaye ni Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Aron Kagurumjuli amemtangaza Maulid Mtulia kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi wa nafasi hiyo. Read more about Mtulia arejea tena Bungeni