Walimu 'vinara' wa kuharibu wanafunzi wakaangwa
Tume ya utumishi wa walimu wa shule za Msingi na Sekondari za umma nchini imesema itaendelea kuwachukulia hatua za kinidhamu walimu ambao watabainika kufanya mapenzi na wanafunzi pamoja na utoro kazini.