Jeshi la Polisi lawashikilia askari
Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam Lazaro Mambosasa, ameelezea hatua walizochukua kama jeshi la polisi kwa askari alimpiga risasi mwanafunzi Akwiina na kumsababishia kifo, wakati wa vurugu za uchaguzi.

