Kauli ya Rais Magufuli juu ya kuuawa mwanafunzi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametoa kauli yake kama mkuu wa nchi juu ya kifo cha mwanafunzi aliyepigwa risasi na polisi siku ya Februari 16 mwaka huu. Read more about Kauli ya Rais Magufuli juu ya kuuawa mwanafunzi